Share this Post

dailyvideo

MPYA KUTOKA TONE MULTIMEDIA GROUP INAKULETEA , TONE MOBILE NEWS BURE ! ZAIDI YA WATU 2000+ WAMEJIUNGA




Tone Multimedia Group kupitia Tone Multimedia Company Limited Ambao ni Wamiliki wa Mtandao huu wa  This Day Magazine pamoja na Blogs za Mikoa yote Tanzania yaani www.blogszamikoa.blogspot.com tunakuletea Huduma mpya na Bure kabisa iitwayo TONE MOBILE NEWS ni huduma ya Bure kabisa ambayo itakuweka Jirani na Tanzania pia  Dunia kwa ujumla, ni Bure kabisa, Utapata Taarifa zilizotokea papo hapo, utapata vichwa vya Magezeti mbalimbali ya Tanzania, utajua mambo mengi sana. 
Unachotakiwa kufanya ni Rahisi sana Chukuwa simu yako Save namba hii +255756 364660 Kisha katika uwanja wa kutuma ujumbe wa Whatsapp andika neno TONE MOBILE NEWS Kwenda namba hii hii +255756 364660  Kisha Tuma ujumbe huo utakuwa umeunganishwa moja kwa moja ni Bure kwa mtu yoyote.
Ukipata Ujumbe huu wape Taarifa na wengine. Hakuna Gharama zozote.

Imeletwa kwenu na Timu nzima ya
TONE MULTIMEDIA GROUP 



Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399

Posted by Editor on 17:38. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for MPYA KUTOKA TONE MULTIMEDIA GROUP INAKULETEA , TONE MOBILE NEWS BURE ! ZAIDI YA WATU 2000+ WAMEJIUNGA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery