VIDEO MBILI ALIZOACHIA DIAMOND ZIMEGHARIMU ZAIDI YA MILIONI 200 ZA KITANZANIA

Diamond
Platnum amedondosha video kwa mara moja zote zikiwa zimetengenezwa na
ku recodiwa nje ya Tanzania. tarehe 7/7 ni siku ambayo alizaliwa
mama yake mzazi Diamond na ili kusherehekea siku hii ya kumbukumbuku
nzuri kwake na familia yake, Diamond ameamua kuachia video hizo.
Video
ya mdogo mdogo imetegenezwa South Africa, na imemgharimu dola 40,000
ambayo ni sawa na sh milioni 67,200,000. video imefanyika chini ya
Director Godfather.
video ya wimbo wake na Iyanya "Mdogo mdogo" iliyotengenezwa na
kurekodiwa London imemgharimu pia dola 40,000 nakutengeneza jumla ya
shilingi milioni 134,400,000.
Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399




