KALI YA KUMALIZA MWEZI HUU: TAZAMA MICHEZO HII HATARI LAKINI KWAO SALAMA YA KUJICHOMA MASHAVU KWA VISU VIKALI, KULAMBA NCHA ZA VISU NA KUJICHOMA NA PINI KWA WINGI HUKO MAJUU , SHUHUDIA MWENYEWE , NI AJABU
Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399
Wanaamini wakifanya hivyo wanazuia mambo mengi na kukataa si kuto kula nyama tuu bali hata kuacha pombe na ngono uzembe , hii ni sherehe ya kawaida kwao ndio maana ili kufikisha ujumbe wanaamua kujichoma choma katika mashavu, haya si mazingaombwe lakini ni Live.
Zaidi ya yote pia wanaoga mafuta yamoto hii yote ni kupendezesha mchezo wao ambao ni hatari lakini kwao salama

Hii ishara inaonesha kuwa hautakiwi kunywa pombe .. sasa huyu jamaa anapata shida sana akitaka kunywa maji au chakula maana anatafuta kanafasi kadogo ili kufanya hivyo.

Ni alama ya tahadhali hii ni moja ya mamia ya watu ambao hawali nyama huko Thailand , huyu anaamini kwa kujiweka mapaga makali na kujichoma hivi itasaidia watu kuacha maovu kabisa na kuwapa amani mioyoni mwao

Hii ni hali ya kawaida sana kwao

Huu ni utalii kabisa ambapo watu wengi wanaenda kuutazama , ikiwa kama kwetu pia likitokea kundi kama hili wanaokataa mambo maovu kwa mtindo huu itakuwa ni sehemu nzuri ya utalii

Hebu mtazame kwa umakini huyu jamaa yeye amejichoma na sindano kibao hapa chukua muda wako uzihesabu

Huyu kasha kula sana vyuma

Hii ni sema hapana kuto kula nyama, kufanya mapenzi na kunywa pombe

Hii inamaanisha ni lazima kuangamiza maovu

Haya si mapambo lakini hawa wanakataa matendo ya ajabu ajabu

Sasa huyu ametobolewa na kuwekwa makamba mdomo mzima pia wanapigania kuacha na kutokomeza uhalifu

Hapa Jibu unalo

Hapa wanaaminini nkabisa kwa kufanya hivi wanasema hapana kabisa uhalifu kataa uhalifu ndio maana yake hapa

Sasa Tazama huu Mjambia hapa jamaa analamba hajali vipi anaumia lakini anamaanisha uhalifu basi

Tazama nanasi hizo zimepita katika waya ambao unasaidiwa na midomo yao ambauyo wamechomwa



MAELEZO NA THIS DAY MAGAZINE PICHA NA GATTY IMAGES/AFP/REUTERS

