Share this Post

dailyvideo

BADO HAUNA AJIRA NA UNAMGOJA NINI HAPO HOME?: TSH 50,000 YAWEZA BADILISHA MAISHA YAKO JIUNGE NA ANGEL LIFESTYLE SASA! FURSAAA!! INGIA HAPA KUSOMA

Ili kupata maelezo kwa kina zaidi na kujiunga au kununua Bidhaa hizi za Angel Life style Piga simu namba , Whatsapp au Sms +255756266302 MWANZO
Karibu Angel Lifestyle ubadilishe maisha yako sasa wewe , ndugu, jamaa, marafiki pamoja na Familia yako kwa ujumla, Hii ni njia yako muhimu na maalum ya kubadilisha maisha yako kutoka hatua moja  mpaka nyingine kwa njia rahisi tuu ya Kujiunga na Mtandao huu wa Angel lifestyle.
 
Tofauti na Biashara zengine ambazo zinafahamika na zinafanyika katika Mtandao , biashara hii ipo kwa aina yake na ni ya kipekee kabisa ma Elfu ya watu wamesha jiunga kutoka nchi mbalimbali za Afrika lakini kwa kwetu Tanzania Biashara hii ndio kwanza inaanza kwa hiyo tunatambua watu wengi bado hamjaifahamu na ndio maana tumechukua muda huu kuwafahamisha ili nanyi mpate kujiunga na mwisho wa siku kunufaika kama nasi tunavyo nufaika na ndio maana hatukuwa wachoyo kuwapa habari hii njema.


BIDHAA NA VITU  VINAVYOPATIKANA ANGEL LIFESTYLE
Kwanza kabisa Angel Lifestyle wanabidhaa na vitu mbalimbali ambavyo kwa hakika ukiwa popote  Tanzania huwezi kukosa hata kitu kimoja cha kununua ama kujiunga na kuanza kuuza kutoka mkoani kwako ulipo  vitu hivyo ni kama Nguo za watoto na watu wazima wanaume na wanawake, viatu vya kila aina, Mikoba, Cheni, Hereni, socks, Bangili, ma carpet, Duvet   na vitu vingine kibao ambavyo vitaweza ipendezesha nyumba yako.
Sasa ni Jinsi Gani ambavyo unaweza pata pesa kutokana na Biashara hii
Jambo ambalo ni la kufurahisha katika biashara hii ikiwa umejiunga moja kwa moja utaweza kupata punguzo kubwa la Bidhaa zozote za Angel Lifestyle kuanzia punguzo la Asilimia 25% hadi 50%  punguzo hilo litakuwa zuri zaidi endapo utakuwa na manunuzi mengi zaidi.


JINSI YA KUANZA ANGEL LIFESTYLE
Kwanza kabisa ikiwa unania njema kabisa ya kujiunga na Angel Lifestyle unatakiwa kwanza  wewe mwenyewe  ujaribishe na ujue utamu wa bidhaa hizo , mfano utakapo vaa kiatu ama nguo za Angel Lifestyle lazima watu watakuja na kuuliza je umepata wapi vitu hivyo na hapo utapata oda nyingi na biashara yako itakuwa mara moja.
Ni  muhimu kuzifahamu kwa makini Bidhaa zote za Angel Lifestyle hii itakusaidia kujua unatakiwa  kuuza bidhaa zipi  pia itakusaidia kufahamu zaidi wateja wako.
Ni muhimu kufahamu kuhusiana na wateja wako na jinsi gani utawapata , katika hili huwa kuna semina mbalimbali zinaendeshwa kwa maana hiyo katika mkoa uliopo kutakuwa na semina hizo zitakazo kusaidia wewe kujiunga na Biashara hii.


Swali: Je kunatofauti gani kati ya duka la kawaida na Biashara ya Angel Lifestyle ?
Hili ni swali ambalo tumekutana nalo sana , hapa tofauti kati ya Biashara ya dukani na Angel Lifestyle ni moja tuu kwamba ukiwa katika mtandao huu hauna haja ya kuwa na duka unaweza ifanya biashara yako popote pale hata ukiwa nyumbani lakini wale watu unaowatafuta ili uwaoneshe bidhaa au kuwauzia yakupasa uwatafute kwa njia ya simu ama kuwafuata wewe mwenyewe.
Hakikisha kwamba wale marafiki zako wote unaowafahamu wewe unapanga nao ahadi ya kuonana nao kila mtu kwa wakati wake ili uweze kuongea nao juu ya Biashara hii maana kati ya hao mfano marafiki 50 hauwezi ukawakosa hata 20 ambao aidha watajiunga na Angel Lifestyle au wataagiza vile vitu ambavyo umeenda wapelekea. Pia hakikisha unatembea na Catalogue yako kila sehemu uendayo.
 
Kwa ufupi hayo ni mambo ya msingi ambayo  tumeona kukueleza japo kwa ufupi tuu juu ya Biashara ya Angel Lifestyle, Kuna mengine mengi sana na tunakusihi kwamba huu sio muda wa kungoja ajira kwa Tsh 50,000 tuu unajiunga na Mtandao huu na wewe kuanza kujipatia zaidi ya unavyo tarajia ni wakati wako wewe unayesoma ujumbe huu hapa amka sasa usilale  kila jambo lawezekana

Ili kupata maelezo kwa kina zaidi na kujiunga au kununua Bidhaa hizi za Angel Life style Piga simu namba , Whatsapp au Sms +255756266302 Ikiwa unatukio Lolote au Habari yoyote usisite kututumia kupitia Barua Pepe blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba yetu +255765056399

Posted by Editor on 19:29. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for BADO HAUNA AJIRA NA UNAMGOJA NINI HAPO HOME?: TSH 50,000 YAWEZA BADILISHA MAISHA YAKO JIUNGE NA ANGEL LIFESTYLE SASA! FURSAAA!! INGIA HAPA KUSOMA

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery