MAELFU WASHUHUDIA KUPATWA KWA JUA NCHINI MAREKANI

Hapa niTenneessee wadau wakishudia kupatwa kwa kua kulikotokea Marekani siku ya Jumatatu na watu mbalimbali kutoka kila pembe ya Dunia kushuhudia tokio hilo la kihistoria.

Uwanja wa mpira chuo kukuu Illinois wadau mbalimbali walijitokeza kushuhudia tukio hilo la kupatwa kwa jua

Huyu ni Joyce Rwehumbiza mkazi wa DMV akiwa na mwane alipokwenda Tenneessee kushuhudia kupatwa kwa jua.

Joyce akiwa na wakwe zake Tenneessee wakishuhudia kupatwa kwa jua

Wadau wakishuhudia kupatwa kwa juaTenneessee

Fall City nao wakishuhudia kupatwa kwa jua.

ukungu karibu na Nye Beach iliyopo Newport, mapema Jumatatu

