RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA BOMBA LA MAFUTA GHAFI, WAFUNGUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI MJINI MUTUKULA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji
wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakiwa
wamesimama wakati nyimbo za Taifa za nchi zao pamoja na wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki zikipigwa kabla ya kuanza kwa sherehe za uwekaji wa
jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki
(EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja
cha huduma za mpakani (One Stop Border Post - OSBP) Mutukula nchini
Uganda Novemba 9, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua
gwaride la heshima kabla ya kuanza kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la
msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP)
katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma
za mpakani (One Stop Border Post - OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba
9, 2017
Mke
wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akiwa na Mke wa Rais wa Uganda
Mama Janeth Museveni wakati nyimbo za taifa zikipigwa kabla ya kuanza
kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta
Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na
kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post -
OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akitambulisha ujumbe alioongozana nao kwa mwenyeji wake Rais wa Jamhuri
ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kabla ya kuanza kwa sherehe za
uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika
Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha
Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post - OSBP) Mutukula
nchini Uganda Novemba 9, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana
mikono na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta
Museveni huku wake zao wakifurahia baada ya viongozi hao kuzindua Kituo
cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post - OSBP) Mutukula
nchini Uganda Novemba 9, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji
wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakiongozana
na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere
baada ya kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop
Border Post - OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji
wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakisalimiana
na viongozi wa kampuni ya Total ya Ufaransa wakati wa sherehe
za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la
Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga Mutukula nchini
Uganda Novemba 9, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji
wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta wakiweka jiwe
la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP)
katika kijiji cha Luzinga Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017. Picha
na IKULU
Posted by Editor
on 14:58.
Filed under
eastafricannews,
feature,
gallery
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0