Prince William wa UK pamoja na Mke wake wazuru Malaysia leo, Asalimiana na watu Live katika viunga vya Twin Towers... !
Gari Maalum ambalo ndilo lilimbeba Prince William wa UK pamoja na Mkewe walipo kuja Malaysia, Hapa ni punde baada ya kuwasili, ambapo Tone media Group tulikuwa eneo hilo.
Ma elfu ya watu walikuwepo kwa ajili ya kumlaki Prince William ambaye alikuja eneo la KLCC
Hapa ilikuwa ngumu sana kupata picha yake kwa sababu waandishi walikuwa wameziba
Huku Pembeni wananchi kibao kila mtu anataka pata picha nzuri ya Prince William na mkewe
Huyu alikuwa ni Mwandishi wa CNN Malaysia ambaye alikuwa na Jopo la wenzake lakini yeye alikwenda sehemu nyengine kupata picha Nzuri.
Kwa mbali sana Prince William anaonekana akiwa anatembea kwa mguu akiwalaki watu kibao
Hapa Prince William alikuwa anasalimia watu mbalimbali, na kuwakiss huku mkewe nae akiwalaki watu mbali mbali
Ilikuwa ngumu sana kupata picha lakini hivi ndivyo hali ilivyo kuwa
Paparazi akiwa na Mzinga wa mkamera hapa
Picha a juu na ya Chini Prince Wiliiam akiwa anaongea jambo na akina dada wa Malaysia ambao walikuwa wamevalia mavazi maalum
Prince William akiwa na Furaha baada ya kulakiwa na watu wengi sana
Hapa Prince william mwenye Tai nyeusi akiwa anaendelea kuwalaki watu kibao, Bado tulikuwa bega kwa Bega kushuhudia tukio
Ndani ya Viunga vya Twin Towers ndipo Prince William alikuwemo
Kila Mtu amezunguka anataka muona Prince William
Ma elfu ya watu bado wana miminika kumuona Prince William na mkewe
Hapa Prince William akiwa anajiandaa kupanda katika Gari maalum
Prince William aliwa sasa anarejea katika gari maalum
Prince William na Mkewe wakiwa katika Gari Maalum
Mpiga Picha wa Tukio hili na Mwandishi wa This Day Magazine Fredy Tony Njeje, Muda mfupi baada ya Kusalimiana na Prince pamoja na Princess, alipata pigwa picha. Kulikuwa na watu wengi sana na vurugu.
Hapa Prince William ndio anamalizia kuondoka
Gari lililo Mbeba Prince William na Mkewe ndio Linaondoka, Na hapa Ndipo Tone media Tulikamilisha tukio zima Huku tukiwa sambamba na BBC, CNN na vyombo vingine vikubwa vya habari katika tukio hilo Maalum Leo.
Picha zote zimepigwa na Fredy Tony Njeje wa Tone Media Group.




