Share this Post

dailyvideo

Mdau Arnold Kayanda amelemeta.


 Mtangazaji wa Kipindi cha Jahazi ndani ya Radio Clouds FM,Arnold Kayanda akiwa pamoja na Mai Waifu wake Aneth wakati wakiingia kwenye hafla ya Ndoa yao iliyofanyika usiku wa Kuamkia leo kwenye Viwanja vya Karemjee,jijini Dar es Salaam.
 Bw. Arnold Kayanda na Bi. Aneth Kayanga wakilishana keki.
 Wakikabidhi keki kwa Wazazi.
 Wapambe wakiwa wamevalia mavazi nadhifu kabisaaa.
 wakiingia ukumbini.
 Mdau akiwapokea Maharusi kwa Dansi zitoo......
 Maharusi wakiingia.
 Maharusi na Wapambe waoo..
 Kekizzzz.
 MC Kibonde akiliongoza Jahazi la sherehe hiyoo.
 Maharusi wakikata kekii.

Posted by Editor on 16:25. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0

0 comments for Mdau Arnold Kayanda amelemeta.

Post a Comment

Recent Entries

Recent Comments

Photo Gallery